DISCOVER 4 2015 BEI RAHISI

F35-Bomber

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2017
Posts
1,345
Reaction score
1,069
2015 LAND ROVER DISCOVERY 4 SDV6 SE, 139,850 KM, U$ 20,000 Long range fuel tank, spare wheel carrier, 7 seater, navigation bar, Bluetooth, reverse camera, side steps, tow bar, high and low range, off road terrain responce, central locking Sun Roof,No mechanical issues,sold to the public as wholesale in term of Cash and Carry or Advance payment and delivery.
+27687032846
 
Attachments

  • IMG_20250118_094152_046.jpg
    254 KB · Views: 6
  • IMG_20250118_094224_535.jpg
    171.7 KB · Views: 5
  • IMG_20250118_094218_847.jpg
    186.3 KB · Views: 6
  • IMG_20250118_094213_556.jpg
    161 KB · Views: 5
  • IMG_20250118_094209_528.jpg
    186.3 KB · Views: 7
  • IMG_20250118_094206_255.jpg
    178.1 KB · Views: 6
  • IMG_20250118_094159_960.jpg
    248.7 KB · Views: 7
  • IMG_20250118_094152_046.jpg
    254 KB · Views: 5
  • IMG_20250118_094145_881.jpg
    265.7 KB · Views: 5
  • IMG_20250118_094141_490.jpg
    254 KB · Views: 5
  • IMG_20250118_094135_819.jpg
    248.7 KB · Views: 6
  • IMG_20250118_094128_672.jpg
    63.4 KB · Views: 6
  • IMG_20250118_094121_746.jpg
    171.7 KB · Views: 6
Yes!Tufanye mambo kadri ya uwezo Kila mtu anawaza ni swala la muda tuu
 
Haya magari ya ULAYA hususani Wingereza na ujerumani ikivuka KM 100 000 nakuomba iache tu, utakuja utamani hata yule anae miliki Ist number C, Dash board ikianza kuonyesha taa nyekundu kila geraji utafika tu na usiponye hiyo gari.
 
Hizo story zilipendwa mkuu,.Siku hizo hayo mambo hakuna hiyo gari unatumia mpaka unatupa
 
Hizo story zilipendwa mkuu,.Siku hizo hayo mambo hakuna hiyo gari unatumia mpaka unatupa
Kakuambia nani jaribu uimiliki ikwa na zaidi ya km100.000 utaona gharama za kuimantain hiyo gari, acha ubishi Mnyaru kazileta nyingi hapa ila mitaani hazionekani ziko gereji au majumbani zimepaki, raha ya hiyo gari iwe na KM 50000 au mpya kabisa hapo utakua na guarantee angalau ya miaka ya miaka mitano bila kununu vipuri vopya.
 
Haya magari ya ULAYA hususani Wingereza na ujerumani ikivuka KM 100 000 nakuomba iache tu, utakuja utamani hata yule anae miliki Ist number C, Dash board ikianza kuonyesha taa nyekundu kila geraji utafika tu na usiponye hiyo gari.
Gari ya 2015 na 136k km kwa $20,000? Kwa kweli Mungu atusaidie tu
 
Sawa mkuu mi nilikuwa nachukulia Bluetooth kama kitu kidogo sana
Gari nyingi watu wanaendesha leo ni chini ya ,2009 hizo ndizo gari nyingi zipo barabarani kwa Tanzania...
Na gari baadhi zilianza kutoka na bluetooth miaka ya 2009.. built in...
 
Sisi hizo ndio gari zetu na tunaenjoy maisha wewe kama ulinunua mkweche shauri yako !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…