DISCOVER 4 2015 BEI RAHISI

Sisi hizo ndio gari zetu na tunaenjoy maisha wewe kama ulinunua mkweche shauri yako !
Ungtkua unamiliki gari kama hilo usingeleta uzi huo, tulishawahi kumiliki hizo gari tunakua wa pole sanaa kwasbabu mziki wake tunaijua, wewe unaangalia appearance yake nje hujui hiyo gari ni mhemuko tu wa vijana na dream zao za kila siku bila kujua uzito nyuma yake.
 
Ila hizi Discovery unanunua imetembea kilomita zaidi laki moja lazima itazingua...
Ni gari nzuri sana ukipata yenye low mileage au 0 km, lakini unanunua gari ina 139,000 km, halafu bado utegemee uimara..

Mwenye pesa akilipata 0km... ni chuma haswa... sema pesa ziko wapi!!!
 
Mkuu nimekuambia hatudeal na discover 3 kwetu ni old fashion.Angalia mali iliyopo unaipenda Tufanye biashara huwezi pita kushoto ACHA ngonjera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…