wimbi la mbele
JF-Expert Member
- Jan 4, 2011
- 647
- 266
nafikiria kuagiza hii nimeambiwa bei zimeshuka...na naipenda kuliko VOGUE (kubwa na ile sport)
sasa maswali:
1. niagize wapi kati ya Dubai, South Africa, Japan au Europe?
2. please advise on bei,
3. maintenance,
4.upatikanaji wa vipuri
5. Je itaweza kuhimili barabara zetu za bongo?
6. Ushuru vipi au nipitishie Mombasa?
Thanks