Discovery 3 au 4?

wimbi la mbele

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2011
Posts
647
Reaction score
266






nafikiria kuagiza hii nimeambiwa bei zimeshuka...na naipenda kuliko VOGUE (kubwa na ile sport)

sasa maswali:

1. niagize wapi kati ya Dubai, South Africa, Japan au Europe?

2. please advise on bei,

3. maintenance,

4.upatikanaji wa vipuri

5. Je itaweza kuhimili barabara zetu za bongo?

6. Ushuru vipi au nipitishie Mombasa?



Thanks
 
Mzee kwa Hiyo kitu kwa wastan kabisaa ( As far as I am aware) Andaa si chini Ya million 80,

Kama utaagiza Japan CIF ni 32,000,000/=

Sijui about Dubai and other places.
 
mhhh

tayarisha milioni 130 hivi

ukinunua from Saouth ujue umeuwawa..spare toka UK, Dubai na kwingine hazitofanya kazi
 
Kuna jamaa katoka nayo South anataka $ 30,000
 
za south na Japan sina hakika nazo za direct toka Birmingham, England uhakika upo sema spea itakumaliza

so give or take jaribu Japan south spare zitakutia mimba

jiulize kwanini kila mtu mjini ana Vogue lakini hizi ziko chache?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…