Binafsi naona km wengi wameguswa na jinsi nchi yetu inavyotafunwa na mafisadi, tatizo langu ni competence kwa utitiri wa wagombea waliojitokeza pamoja na kutojiandaa. Mathalan mgombea wa kiti cha urais kushindwa kumpa hata mzazi wake elimu ya uraia pengine hata tu kujua mwanae anagombea urais kupitia chama gani? je,kweli huyu amejipanga?naomba majibu wadau.