Richard and Jambo Forum.
Iko hivi niko la lap top..lakini iko na partition mbili C drive and Drive..kila moja ina 40GB.Dhumuni hasa la kifanya partition
nataka 15GB from C drive zihamie kwenye D Drive.
Na hii software inaonekana inaweza..kwa ku drag free GB fro one side to another.
So inafanya...kuwa D drive ina GB nyingi kuliko C dive.
Buswelu.
Mkuu Buswelu hio program siiamini sana kama inaweza kukusaidia kufanya partition kwenye laptop yako.
Sasa unaweza ukaamua ku-reformat upya HDD ya laptop yako na uweke 50-50 kwa kila partition yako ukitumia Windows XP either Professional au Home Edition.
Yaani baada ya hapo utakuwa na OS mbili tofauti yaani Windows XP na Vista au na Mac. Sasa unaweza ukatenga sehemu hizo mbili wakati ukifanyia reformating na ikafanza kwamba inapo-boot itaonesha hizo OS mbili na unachagua ni OS uitumie kulingana na utashi wako.
Sasa mimi ningefanza kama ifuatavo:
Laptop hard drive - Two partitions
Windows XP Pro au Home Edtn- 40GB (or half the size of your HDD) kwa C drive.
Mac OS - 40GB (or half the size of your HDD) kwa D drive
Halafu u-adjust the size according to the amount of media and documents/files you currently have or will have.
Music
Videos
Data
Hizi unaweza kuziweka katika Drive C: ambayo ndio itakuwa master Boot.
Kwenye Drive D: unaweza ukajaza games na kadhalika ili kuifanza Laptop yako angalau iwe na nguvu ya ku-run kikawaida.
Lakini pia itabidi uongeze Ram Memory iwe kama 1GB au kabisa ili iwe na speed zaidi.
Nafikiri hizi partition mbili zinatosha ingawa zinaionea mno laptop yako na zitapunguza performance yake kama utakavo.
Haya mkuu jaribu.