Disk repair failure

Disk repair failure

Mkakatika

Member
Joined
Nov 15, 2009
Posts
52
Reaction score
8
Laptop yangu ni hp dv2500 win 7 ultimate nimejaribu kurepair disk by chkdsk na ile ya windows explorer ya check disk errors lakini inagoma.
msg inayotokea ni kudai restore to a certain date lakini nako kule haitaki inadai nicheki disk erros kwanza.

Msaada wakuu ili niokoe kitendea kazi changu.
 
Laptop yangu ni hp dv2500 win 7 ultimate nimejaribu kkurepair disk by chkdsk na ile ya windows explorer ya check disk errors lakini inagoma. msg inayotokea ni kudai restore to a certain date lakini nako kule haitaki inadai nicheki disk erros kwanza.

Msaada wakuu ili niokoe kitendea kazi changu.

Je unaweza kuandika hapa specific maneno au japo sentesi moja inayotokea ukirun hiyo chkdsk.

Je ni error hiyo hiyo inatokea hata ukirun chkds kwenye Dos command ?

otherwise unawezo kujaribu ku google hiyo error message.. ya chksdk.
 
Back
Top Bottom