Disney anime ziko very emotional

Disney anime ziko very emotional

carnage21

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2023
Posts
591
Reaction score
1,382
Katika pitapita zangu za kuangalia animation,nimekuja kuona animation nyingi za disney ziko very emotional.Some huwa wanacry kabisa hasa at the ending,ki ukwel mpaka sasa naweza kusema "THE WALT DISNEY COMPANY " ndio wako competent katika animation industry.Mfano,

LUCA
ENCANTO
TOY STORY 3
COCO
INSIDE OUT
ONWARD

Hizo nlizotaja hapo juu ni baadhi tu ya anime ambazo nimeshuhudia mtu analia

Coco_(2017_film)_poster.jpg
 
Acha kabisa.

Zipo tatu niliziona yaani nikahisi hayo ndiyo maisha halisi.
1-Dogo anapambana kuutambulisha ulimwengu juu ya adhari za artificial world, mwishoni wanaimba 🎸Let it grow,let it grow🌱, mdosi yeye anaimba let it die let it die😅😅.
2- Madogo wawili (yatima) wa kike na wakiume walitoroka manyanyaso ya kituo cha kulelea yatima wakaenda kutafuta maisha mjini waliteseka sana ila wakajaoana baadae🙂🙂.
3- Dog soldier (true story) alikuwa anaokoa maaskali vitani hatari, mwishoni wajerumani wakasepa vita 🙂🙂
 
Back
Top Bottom