Acha kabisa.
Zipo tatu niliziona yaani nikahisi hayo ndiyo maisha halisi.
1-Dogo anapambana kuutambulisha ulimwengu juu ya adhari za artificial world, mwishoni wanaimba 🎸Let it grow,let it grow🌱, mdosi yeye anaimba let it die let it die😅😅.
2- Madogo wawili (yatima) wa kike na wakiume walitoroka manyanyaso ya kituo cha kulelea yatima wakaenda kutafuta maisha mjini waliteseka sana ila wakajaoana baadae🙂🙂.
3- Dog soldier (true story) alikuwa anaokoa maaskali vitani hatari, mwishoni wajerumani wakasepa vita 🙂🙂