INAUZWA Display ya miwani, display ya hereni, cheni na Kabati la Aluminium

INAUZWA Display ya miwani, display ya hereni, cheni na Kabati la Aluminium

lossoJR

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
2,711
Reaction score
2,384
Tuwasiliane kwa Mwenye uhitaji wa hizi bidhaa;-

Display ya miwani inauzwa 300,000 INA Display miwani pc 105(mia na tano) kwa wati mmoja.
Ni kubwa, na juu kabisa INA vioo viwili.
Inafaa kwa mtu mwenye boutique au Duka la urembo..
1d23c0ea493e9cc3eb6850f95a9e88e6.jpg


Used Display ya umeme kwa ajili ya hereni na cheni. Ina switch ya kuifanya kuzunguka pia ina taa zenye Mwanga wa kutosha...
Bei laki 350,000. Ni original.
Inafaa kwa mtu wa boutique,sonara pia duka la urembo.
ec65f51df2b845b06eb4ee4edb7b26e5.jpg


Kabati la aluminium bado jipya kabisa na lina vioo vyote, ukubwa 4x5.5,linafaa kwa matumizi mbali mbali kulingana na uhitaji wa mnunuzi.
Bei 350,000.
728f6961e7fad3388cced6afaefb6c0a.jpg

Bidhaa zote zipo mbeya,na ninatuma popote

Twaweza wasiliana 0625924942.
 
Wakuu bidhaa bado zipo zinawasubiri wajasiliamali
 
Back
Top Bottom