Disseration report

Kitere

Member
Joined
May 7, 2014
Posts
7
Reaction score
0
Nahitaji mtu wa kuniandikia proposal na final research report ya undergraduate.
Mwenye kuweza kazi ani pm
 
Nahitaji mtu wa kuniandikia proposal na final research report ya undergraduate.
Mwenye kuweza kazi ani pm

haaahahaaa mkuu kwa nini uandikiwe

dessertator boy .. Hongera
 
Last edited by a moderator:
Nahitaji mtu wa kuniandikia proposal na final research report ya undergraduate.
Mwenye kuweza kazi ani pm

Eeeh Mungu! Epusha nchi yangu na janga la vilaza! Kazi ipo!
 
Huyo mtu itabidi akuvalie na joho siku ya Graduation bila kusahau akupokelee mshahara ukiajiliwa.
 
ni sawa na kuomba mtu akufanyie mtihani.very sad!
 
Nchi ya mazombie hii! Haya ndo madhara ya kutumia wengine kukusomea, yaani bila kutengeneza kijiji hili zoba haliwezi kufanya mtihani. kwanza linasema disseration sijui ndo kitu gani hicho?
 
Halfu mnalalamika nchi masikini, hatuendelei....!! Shame on u!
 
Halfu mnalalamika nchi masikini, hatuendelei....!! Shame on u!

Ni kwamba huyu amejitokeza ila wengi hawajitokezi na wanaandikiwa sana hizo kitu. Wameshaona hakuna haja ya kuumiza kichwa. Na watu wa namna hiyo ndio unawakuta wana ajira kabla hata iyo disseration (Dissertation) haijaisha. Wewe unayehangaika kukusanya data na maakili yako unaishia kuzunguka na bahasha miaka nenda miaka rudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…