Distance learning

Distance learning

msasa

Member
Joined
Nov 27, 2008
Posts
81
Reaction score
1
Poleni na majukumu.
Natafuta website za institute zinazotoa distance learning through posta or kwingineko isiwe online. Plz plz plz
 
Mbona bado unataka mambo ya kizamani mzee? Teknolojia inakwenda mbele kila siku; tuitumie vilivyo ili tukimbie mbele km wenzetu, sio wenzetu wanatuka sisi ndio kwanza tunaanza kutambaa.

Ukibadilisha mawazo; nitakupatia za online distance learning
 
Mkuu, ungeweka tu hapa hizo za online distance, zinaweza kusaidia wengi
 
Back
Top Bottom