Wapendwa ebu tuambizane kdg, hamna mapenz mazito na yanayoitaj moyo kama haya(mwenzako yuko arush ww uko lindi)....n nani anawajibu wa kumtafuta mwenzie, kumjulia hali mwenzie....hivi ndio vitu vinavyofanya mapenz ya namna hii kuvunjika.

Mapenzi ya mbali inatakiwa mtafute namna mpya na bora ya kuexpress hisia zenu.
Mfano kufanya phone sex, video chat teasing na vitu kama hivyo.
Hayasongi mbele haya mahusiano kwakua mabinti hujifanya wana aibu sana kiasi hata kuongea neno kama lilivyo atakwambia anaogopa. Hivyo mawasiliano hufa, na watu wote hua tunadeal na tunachokiona kuliko tunachosikia.