Njaa
JF-Expert Member
- Dec 6, 2009
- 1,022
- 412
Deal JF members
Mimi sio mchumi, ila leo nilikuwa naangalia hii short documentary ya dakika 7 inayohusu mgawanyo wa pato la Marekani kwa wananchi wake (classes). Kama ni hivyo, basi ubepari siutaki tena. Nahisi wajukuu zangu watakuwa watumwa wa kizazi cha Ridhiwani. Eti 80% ya wamarekani wanamiliki only 7% ya uchumi wao wakati kuna tabaka la 1% wanamiliki 24% ya uchumi wa Marekani...
Nawakilisha link
9 Out Of 10 Americans Are Completely Wrong About This Mind-Blowing Fact