Distributor wa Maziwa ya Kopo Dar es Salaam

newazz

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2009
Posts
904
Reaction score
907
Natafuta mtu wa kuniuzia maziwa ya makopo , kama vile NIDO, LACTOGEN ( No 1, 2)

Nahitaji kwa bei ya jumla ambayo, nami nitauza kwa wauzaji , wenye maduka ambao watauza kwa walaji.

Mwenye nayo au contacts tuwasiliane.
 
nipigie 0714064767
bei ya jumla 8,500/=@24 cases 400g
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…