DIT ina mtaala ambao ni mzuri na unamjengea mwanafunzi kuweza kujitegemea na hata kujiajiri, endapo tu mwanafunzi mwenyewe kichwa chake kitakua kinafanya kazi kama changu hapo.
DIT ina mtaala ambao ni mzuri na unamjengea mwanafunzi kuweza kujitegemea na hata kujiajiri, endapo tu mwanafunzi mwenyewe kichwa chake kitakua kinafanya kazi kama changu hapo.
Kaka angu alimaliza form four akapata div one ya point 17,hakwenda A level akaenda kusoma DIT electrical engineering ameua Diploma mwaka juzi na sahv anafanxa kazi Mtwara kwenye kampuni moja ya Gas.Analipwa mshahara mzuri na safari nyingi za nje kikazi na bado hajaenda kusoma degree
nadhan hapo umenielewa
.A level pia ni nzuri ila ukifaulu, ukifeli huko hautakuwa na tofaut na yule aliyemaliza form four.
Manake utaanza diploma badala ya degree kwahyo muda wako utakuwa umeupoteza buree.
DIT ni mahala pazuri sana ambapo ukisoma ukatoka hautajutia.
overrr..
Hahahaaaa..aminia mzazi
umeona eeh! Uzuri wa DIT kama mjaja unaweza kua unasoma Civil ila ukatoka pale unajua Tellecom , Computer hata Mechanical, ni jinsi tu ya wewe mwenyewe utavyo amua kuangaisha bongo yako kujua mambo mbalimbali na hatiamae kua mult purpose