DIT kuna nafasi kwa ajili ya Form 4?

DIT kuna nafasi kwa ajili ya Form 4?

MCNGAPORE

Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
14
Reaction score
1
nafasi DIT kwa form IV upande wa direct entry scheme zipo?na mwisho wa kutuma maombi ni lini?,msaada jamani!
 
nafasi DIT kwa form IV
upande wa direct entry scheme zipo?na mwisho wa kutuma maombi ni
lini?,msaada jamani!

Nafasi bado zipo deadline ya application ni tar 17 mwez huu
 
asante sana kwa kunijulisha swali langu la mwanzo!pia napenda ulizia pale DIT tofauti ipo kati ya wale wanaochaguliwa na baraza moja kwa moja na wale wa kuomba wenyewe?
 
asante sana kwa kunijulisha swali langu la mwanzo!pia napenda ulizia pale DIT tofauti ipo kati ya wale wanaochaguliwa na baraza moja kwa moja na wale wa kuomba wenyewe?

Tofauti ni ada
 
mkuu inamaanisha kwenye ada kuna mkono wa serikali kwa wote au?napenda kujua samahan!

Kwa waliochaguliwa na baraza serikali inawalipia hivyo wanalipa kiasi kidogo tu, wale wengine wanatambulika kama private sponsored kwa hiyo unajilipia gharama zote.
 
sifa za kujiunga kwa form 4 ni zipi tafadhali.
Kwa waliochaguliwa na
baraza serikali inawalipia hivyo wanalipa kiasi kidogo tu, wale wengine
wanatambulika kama private sponsored kwa hiyo unajilipia gharama
zote.
 
sifa za kujiunga kwa form 4 ni zipi tafadhali.

Minimum Entry Qualifications for Ordinary Diploma (NTA Level 4-6 Programmes)
Candidates may join the Ordinary Diploma (NTA LEVEL 4-6) programmes offered by DIT through the Direct Entry Scheme, the Indirect Entry Scheme (or the Pre Entry Course channel).

Direct Entry Scheme
In order to qualify for admission under the Direct scheme, a candidate must be a holder of a good Certificate of Secondary Education (CSE) with a minimum pass of �C� grade (or 9 points based in the following conversion A=1, B=2, C=3, D=4 for applicants who completed Form IV before 2013) and (A=1, B+=2, B=3 C=4, D=5 for applicants who completed Form IV in 2013 to date) in three of the following subjects; Physics/Engineering Science, Mathematics and Chemistry/English or a good General Certificate in Engineering (GCE).
For admission into the NTA LEVEL 4-6 in Laboratory Technology, Biomedical Equipment Engineering and Food Science and Technology applicants must have passed chemistry and Biology in addition to the above requirement.
 
Back
Top Bottom