nafasi DIT kwa form IV
upande wa direct entry scheme zipo?na mwisho wa kutuma maombi ni
lini?,msaada jamani!
asante sana kwa kunijulisha swali langu la mwanzo!pia napenda ulizia pale DIT tofauti ipo kati ya wale wanaochaguliwa na baraza moja kwa moja na wale wa kuomba wenyewe?
Tofauti ni ada
Tofauti ni ada
mkuu inamaanisha kwenye ada kuna mkono wa serikali kwa wote au?napenda kujua samahan!
Kwa waliochaguliwa na
baraza serikali inawalipia hivyo wanalipa kiasi kidogo tu, wale wengine
wanatambulika kama private sponsored kwa hiyo unajilipia gharama
zote.
sifa za kujiunga kwa form 4 ni zipi tafadhali.