Mshinga
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 3,532
- 1,126
DIT ni chuo cha tekinolojia bila tekinolojia, kimepoteza mana na kushindwa kusadifu jina na kuwa mhimili wa tekinolojia kwenye taifa lisilo na tekinolojia hata ya kuiba, kimegeuka chuo cha kutoa wafanyakazi watoa huduma badala ya wagunduzi na ugunduzi, mbeya university of technology nayo inafata yaleyale ya DIT katika uchanga wake