DIT ni chuo cha tekinolojia bila tekinolojia,kimepoteza mana na kushindwa kusadifu jina na kuwa mhimili wa tekinolojia kwenye taifa lisilo na tekinolojia hata ya kuiba,kimegeuka chuo cha kutoa wafanyakazi watoa huduma badala ya wagunduzi na ugunduzi,mbeya university of technology nayo inafata yaleyale ya DIT katika uchanga wake
hatuna chuo hata kimoja kinachostahili sifa,tunahitaji education reform kuanzia chini mpaka juu,watu wanajisifia kusoma hapa ama pale,DIT haina maana kwa dhima na malengo yake.hata wanafunzi wake hawaelewi kuwa wanahitaji kugundua ama kutengeneza tekinolojia,wanaenda pale wakijua wanaenda kusomea ajira. hatari sana. vyuo vyetu lazima tuviangalie upya ili visaidie taifa tofauti na sasa vinatoa makanjanja tu
mbona unatoa povu,hili limeingiaje kwenye mada?wewe unaona ni sawa kuwa na vyuo vya tekinolojia ambavyo havina uwezo huo?kwa taarifa yako sijawahi kufeli.
pelekeni stress zenu za kufeli huko.
siku zote umeonyesha uwezo mdogo sana na huna uwezo wa kujenga hoja zaidi ya chuki na matusi kama kigezo cha kujilinda na uwezo wako mdogo wa kutetea unachokiamini,sioni haja ya kuendelea kujadili nje ya mjadala kwa sababu ya chuki zako.Kitendo cha kuandika huu ujinga tayari umefeli
ameona nini?just a tabularasa imagination,sijawahi kufeli kama mawazo yake yalivyomtuma na kama unavyofikiria,I am very firm kila idara na kama wewe una unauwezo basi kosoa unachoona si sahihi,ila ukija na akili ya watu wasioelewa sitabishana na wewe mana kubishana na mjinga unakuwa mjinga piaNashukuru kwa kuliona hilo