dit na must kipi kinaushindan

dit na must kipi kinaushindan

Ilambo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
475
Reaction score
89
Nauliza ktk vyuo tajwa hapo juu kipi kina competition zaid ktk fan za civil na electr engneering mi ni form six leaver nimemaliza 2010 pcm nataka niombe mwaka huu,maana ufaulu wangu ni wakawaida sana pcm D,S E respectively,ushaur pia unaruhusiwa
 
DIT maana kila mmoja anataka kusomea dar..na kwa huo ufaulu wako unaweza kupata ila omba huko MUST..ila omba na course za udom..na umejiandaaje na kujilipia..maana kwa mwaka 2010 bodi hawakupi mkopo labda usome afya au education..
 
Sasa mkuu pcm anaweza soma coz gan ya afya
 
Back
Top Bottom