Alfred JF-Expert Member Joined Apr 13, 2008 Posts 2,093 Reaction score 2,843 Aug 22, 2016 #1 Samahani Wadau wa Jamiiforums, Naomba kuuliza Kati ya Udsm na DIT wapi pametulia katika kozi ya Uhandisi wa Ujenzi (Civil Engineering), Hasa ukizingatia Competence ya Graduates kutoka vyuo Hivyo Viwili.
Samahani Wadau wa Jamiiforums, Naomba kuuliza Kati ya Udsm na DIT wapi pametulia katika kozi ya Uhandisi wa Ujenzi (Civil Engineering), Hasa ukizingatia Competence ya Graduates kutoka vyuo Hivyo Viwili.
Muharango JF-Expert Member Joined Jul 2, 2016 Posts 1,663 Reaction score 1,037 Aug 23, 2016 #2 Kasome DIT ila jiandae kula msuli wa kutosha.
Lazaroj JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 1,451 Reaction score 1,050 Aug 23, 2016 #3 Alfredtz said: αfuu nαѕkíα dít ní ѕpєcíαl kwα mα tєchnícíαnѕ Click to expand... Sasa form six anakuja kutafuta nini[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Alfredtz said: αfuu nαѕkíα dít ní ѕpєcíαl kwα mα tєchnícíαnѕ Click to expand... Sasa form six anakuja kutafuta nini[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]