Wakuu Inasemekana kuwa div 1 had 3 ndio watakaojiunga na vyuo vya ualimu, je kama me nina Div 3 ya 31 na combi imebalance, nitachaguliwa kujiunga na kidato cha tano au ualimu? Na kama ni ualimu nitachaguliwa moja kwa moja au mpaka nitume maombi? Msaada wako tafadhali