Div 3 kidato cha TANO au UALIMU?

SHAY2

Member
Joined
Sep 20, 2013
Posts
24
Reaction score
1
Wakuu Inasemekana kuwa div 1 had 3 ndio watakaojiunga na vyuo vya ualimu, je kama me nina Div 3 ya 31 na combi imebalance, nitachaguliwa kujiunga na kidato cha tano au ualimu? Na kama ni ualimu nitachaguliwa moja kwa moja au mpaka nitume maombi? Msaada wako tafadhali
 
Katika kujaza combi/shule ulijaza na chuo cha ualimu?
 
ebwanae kama una kombi na umefaulu utakwenda advance tu na wala xio chuo ww ngoja tarehe 21 mwez huu utaona 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…