Div III ya 31 wanaweza kwenda A-level kwa mtokeo haya?

SHAY2

Member
Joined
Sep 20, 2013
Posts
24
Reaction score
1
Kwa matokeo haya wanaweza kenda A-Level; History C, Geography C, Kiswahili B, English D, Biology D, Agriculture D, Civics D, Maths F, Chem E, ambayo ni div III ya 31 mbona me namashaka?
 
matokeo yako ni mazuri sana. utaenda kwa combination ya hgk. Hongera sana kwa ufaulu mzuri kwani combination yako imekaa vizuri
 
Kwa matokeo haya wanaweza kenda A-Level; History C, Geography C, Kiswahili B, English D, Biology D, Agriculture D, Civics D, Maths F, Chem E, ambayo ni div III ya 31 mbona me namashaka?

as long as una pass5 ambazo ndani yake una credit 3 na umepata darajaIII
Sifa unazo za kuchaguliwa government high school. hongeraa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…