Div one -hgl point 8

Div one -hgl point 8

OME123

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
1,497
Reaction score
605
Nina DIVISION ONE POINT 8 je ni coz gani nzuri ambayo naweza kusoma UDSM au mzumbe kwani ndo vyuo ninayo prefer most,naombeni mwenye copy ya prospectus za hivi vyooa anipatie.Natanguliza shukrani
 
PSPA,sociology,language,philosophy,archaelogy,Hrm na history,ila mkopo utausikilizia kwenye bomba tu.
 
Nina DIVISION ONE POINT 8 je ni coz gani nzuri ambayo naweza kusoma UDSM au mzumbe kwani ndo vyuo ninayo prefer most,naombeni mwenye copy ya prospectus za hivi vyooa anipatie.Natanguliza shukrani

HGL unapata point 8...vp ungepiga PCP...anyway chuo utapata ila mkopo sahau...fedha zimetengwa kwa ajili ya posho za wabunge tu na sherehe za uhuru
 
Dogo kweli kilaza yani umesoma Horizontal Gaining Education lkn umepiga CCB? Jipangeeeeee
 
Dogo kweli kilaza yani umesoma Horizontal Gaining Education lkn umepiga CCB? Jipangeeeeee

Acheni zereu asee., wengine tulipiga III mnatufanya tujisikie vibaya asee..!
Mkuu omunga don't mention, humu JF kuna milembe JF, muhimbili jf, so mentality sio kitu cha ajabu humu. Find someone ambaye alisoma hiyo combination may be atakusaidia..!
 
Last edited by a moderator:
Ndo tatizo la hili jukwaa la elimu watu humu huwa wanazarau sana na wakati wenyewe ni vilaza sana, mtu anapata 1 w unaanza kumponda! Huo ni upumbavu na ukike kabsa ndio maana hili jukwaa huwa lina wachangiaji wachache kwa ajili wengi hawapendi kwa ajili ya upumbavu kama huu wa dharau za kimavi.
 
asa we hutaki aambiwe ukweli?kama ni mkopo ausahau tu,afu na wewe utasomaje HGL then ukapata dv ¡¡¡ bana,nyie mngekua china mngenyongwa hadharani!
 
Last edited by a moderator:
aisee HGL unapata 3 sasa ungekua PCB si ungepata zero watu kama nyinyi mlitakiwa hata chuo msipate
 
Ndo tatizo la hili jukwaa la elimu watu humu huwa wanazarau sana na wakati wenyewe ni vilaza sana, mtu anapata 1 w unaanza kumponda! Huo ni upumbavu na ukike kabsa ndio maana hili jukwaa huwa lina wachangiaji wachache kwa ajili wengi hawapendi kwa ajili ya upumbavu kama huu wa dharau za kimavi.

Dharau kwa kuambiwa ukweli? Je sisi tuliopata Div I point 3 ya PCM tumvumilie tu na pumb.a zake?
 
Wote mliochangia kwa kuponda hamna maana. Kijana kauliza apate msaada mnaanza kuleta mbwembwe zenu.
 
Jamani tuacheni majungu yaani HGL unapata div 1 pts 8 upewe mkopo,

Na wewe uliepata div 3 hgl ungekaa kimya tu,

Kuna combinations and jobs for gals tu as wana majukumu mengi as kuzaa, kupika na kulea familia so vitu virahisi like sociology, pspa, hr and other tuwaachie wake zetu jamani, mwanaume kamili hawezi kusoma hgl halafu akapata div 3 na bado akajisifia,

Watu kama nyinyi ni kuwapa mkopo wa majembe na mbolea muende shamba mkalime
 
Rafiki yangu tunafanya nae dili flani hapa mjini za kisheria ana ushuhuda ufuatao and i beg to quote(yeye hajajiunga jf)..

Nilipata div 1 ya point 8 nlikuwa hgl..nilitaka law.udsm nikapata pspa(political science and public administration),udom nikapata pspa pia,ila mzumbe sikupata awali nikapata sheria baadae sana and it was too late kwny second selection(wajuzi watakubaliana namm kuna kujuana/rushwa pale sababu nin classmate walipata div 2 na 3 na wakapata tena law!!)

Anyways,nikaaply st Augustine,Mwanza na mkopo nilipata nimemaliza last year na sasa nakula hela mjini..law school nimeenda nasubiria kuapishwa kama wakili tu which is not so long from now..
 
Nina DIVISION ONE POINT 8 je ni coz gani nzuri ambayo naweza kusoma UDSM au mzumbe kwani ndo vyuo ninayo prefer most,naombeni mwenye copy ya prospectus za hivi vyooa anipatie.Natanguliza shukrani

kasome education....mkopo asimilia 100,,kozi nzuli kwako ni law peke yake
 
Sheria sikushauri sana maana kwasasa kila aliyesoma Arts ni mwanasheria,utasugua soli ya kiatu mpaka ukome mtaani,Law school pale UD na kwenyewe ndiyo hivyo tena kumaliza mpaka uwe na roho ya paka!
 
utakuwa mwalimu mzuri tu, usiogope mdogo wangu, sera ndio zimebadilika tena
 
Back
Top Bottom