Ndo tatizo la hili jukwaa la elimu watu humu huwa wanazarau sana na wakati wenyewe ni vilaza sana, mtu anapata 1 w unaanza kumponda! Huo ni upumbavu na ukike kabsa ndio maana hili jukwaa huwa lina wachangiaji wachache kwa ajili wengi hawapendi kwa ajili ya upumbavu kama huu wa dharau za kimavi.
Dogo kweli kilaza yani umesoma Horizontal Gaining Education lkn umepiga CCB? Jipangeeeeee
Ndo tatizo la hili jukwaa la elimu watu humu huwa wanazarau sana na wakati wenyewe ni vilaza sana, mtu anapata 1 w unaanza kumponda! Huo ni upumbavu na ukike kabsa ndio maana hili jukwaa huwa lina wachangiaji wachache kwa ajili wengi hawapendi kwa ajili ya upumbavu kama huu wa dharau za kimavi.
ni kweli umefaulu vizuri ila kuwa makini kwenye kuchagua facult angalia baadae usichague kwa ajili ya ubishoo baadae upate shida kaka
we ulisoma kombi gani na ukapata point ngapi?
Ndo tatizo la hili jukwaa la elimu watu humu huwa wanazarau sana na wakati wenyewe ni vilaza sana, mtu anapata 1 w unaanza kumponda! Huo ni upumbavu na ukike kabsa ndio maana hili jukwaa huwa lina wachangiaji wachache kwa ajili wengi hawapendi kwa ajili ya upumbavu kama huu wa dharau za kimavi.
Somea kazi unayopenda kufanya, kwa kuwa mafanikio ya maisha ni kutimiza ndoto.
Nina DIVISION ONE POINT 8 je ni coz gani nzuri ambayo naweza kusoma UDSM au mzumbe kwani ndo vyuo ninayo prefer most,naombeni mwenye copy ya prospectus za hivi vyooa anipatie.Natanguliza shukrani
One ya hgl haikusaidii ki2,mkopo hatukupi,labda kasome education tukukopeshe nusu