Diva aanza shobo kwa King Kiba

Diva aanza shobo kwa King Kiba

Robidinyo

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
4,043
Reaction score
8,686
Za chini chini ni Kwamba King kiba Kamuombe Msamaha Diva pale Mjengoni Clouds, Alipokwenda kufanya Intervier leo kwenye kipindi cha XXL

IMG_20200515_190115_247.JPG
 
Mwanamke ukimsugua vizuri sana, hata akiondoka bado atarudi tuuuuuu

Alikiba alikwenda kumuombea msamaha Diva wala sio kwaajili ya interview lakini mimi bado nasikitika sana kitendo cha kiba kutembea na msichana aina ya Diva wakati anajua fika Diva ni nut kabisa!

Naanza kuamini naye Kiba hayuko sawa!

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Mchagua jembe si mkulima
 
Kama Diva ni msichana na Zuchu tumuite nani?
 
Diva inaonekana alisuguliwa hadi k ikawaka moto

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kiba sasa anatakiwa alipe mahali achukue jiko kabisa. Ustaadhi Kiba anaruhusiwa kuoa hata wake wanne, aache mambo ya kuchepuka.
 
Back
Top Bottom