warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Shoga kidawa toka afukuzwe kazi clouds basi anajifanya kajiajiri mwenyewe, madai anafanya gossip news , news zenyewe ana Copy paste trend news za Instagram ndo anapachika kwake, yani mpaka namuonea huruma.
Inshort Diva umbea haumfai kabisa sio kipaji chake yani, huwa ananichekeshaga sana anavyopost, vitu vya ajabu ajabu havina mbele wala nyuma, c bora unipe pesa nikufundishe kuandika hot gossips za mjin account yako iwe talk of the town in two minutes .
Hata nashindwa kuelewa hiyo journalism ulisomea wap na kuandika hujui, yani umbea wako hauna chumvi wala sukari, upo upo tu kama makande ya juzi, kama huna hiyo talent si uwajiri watu wenye vipaji vyao , yani unaokota okota umbea uliosambaa insta Nzima then unauleta kwako as if wewe ndo source.
Nakushauri uendelee tu na masuala ya mapenzi, huku kwemye umbea tuachie akina warumi, unatuaribia kazi zetu