Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Last Nail In The Coffin β°οΈSingle mother haolewi
Winga Telezadiva ndio nani hapo darisalamu au ni wakili wa serikali
Hilo Kule Arusha Wanaita Kushabu Bangi Yenye Mbegu Ukivuta Mbegu HupasukaHivi mahari ya huyu binti ipo vile vile milioni 500 ama imeshuka saivi?
Hakuna jambo Wanaume hatupendi kama kuwa kwenye mahusiano na mwanamke asiyewasahau Ex boyfriends zake
Inaonesha muda wowote ukisafiri, anakipeleka kwaajili ya kiporo kupashwa
Itakuwa kuna lose nut kwenye kichwa cha huyu bintiHilo Kule Arusha Wanaita Kushabu Bangi Yenye Mbegu Ukivuta Mbegu Hupasuka
Ndio maana tunasema kuoa mwanamke bikra ndilo suluhisho ila watu munabisha humu ndaniVijana wengi wanatumikia mahusiano yasiyokuwa yaooo ...... waishi na mtu kumbe humo kichwanii mawazo, fikra, hisia ziko kwingineeee kabsaaa
Mkuu huo ndio ukweli aliouongea huyo mwanamke sema huyu ameongea hadharani ila hilo lipo kwa mwanamke yeyote yuleItakuwa kuna lose nut kwenye kichwa cha huyu binti
Miaka yote hataki kukua
Hapana mkuu haipo hivyoHaya mambo ya kukumbukana huwa yanakuja tu pale ambapo mambo yako hayaendi vizuri.
Kama sio wakili basi ni karani wa sensa...πdiva ndio nani hapo darisalamu au ni wakili wa serikali