Diva: Alikiba ni Ex wangu ambae sitaweza kumsahau

Hapo sasa ndipo unapoona umuhimu wa kuoa bikra, najua wanawake watakataa kila mwanamke ana ex wake anaye mkubali sana kuliko mwenza/mume aliye naye sasa. Mimi kuna demu alizingua mwenyewe na sijamtoa bikra ila mpaka kesho anataka turudiane, tayari ameolewa mwaka huu lakini bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…