Anatafuta Mil 10 akalipe pango, Ambayo anategemea Washabiki zake wamchangie...Huyu si huwa amasema Babake ni Bilionea Malinzi?Mdada maarufu, mwana mitandao na mtangazaji Diva the Bawse, aomba waja wamchangie pesa ili aweze kulipa kodi ya nyumba anayoishi, baada ya mmiliki wa nyumba hiyo kuja kumfanyia tukio la udhalilishaji kwa kuchelewa malipo.
Huyu bidada si alisema ana bwana ake mzungu? Wala hana shida ndogo ndogo hata WCB wasipo mlipa hela yake, yeye maisha yataenda km kawaida? Mara akaja na mibwato na mineno kuntu yeye pesa zipo na zinaingia kila siku kupitia products zake za urembo kutoka Diva Beauty, sasa imekuaje tena leo ashindwe kulipa kodi ya nyumba?
Afu sasa kodi inayotakiwa ni 10M, na hapo kachangiwa imefika 2M? kwanini anaishi maisha nje ya uwezo wake? Ndio shida ya kufake life, mwisho unaumbuka km hivi, Lol.
Haya Waja, Namba ndio hiyo, km una chochote kitu usisite kutupia hapo ili Diva wetu amalize deni la kodi yake.
Nacheka waja wanavyomchamba huko FB, woiiiih. 😂😂😂View attachment 3676435View attachment 3676436View attachment 3676437
Daslam ina watu milioni tano, mazuzu elfu moja tu hawakosekaniNa kuna mazuzu yanamchangia kweli au anajitekenya na kucheka mwenyewe!!?
Kuomba omba ni kilema kwanza ni fedhehaMwenyewe nafake life nimeshaacha
Ila kufake life unashindwa kuwa na akili hata kidg
Huyu ndo alisema hawezi ishi Goba au
Kodi ya mili 10 kwann asije ishi vikindu wejemeni 😫
Kwa umaarufu wa Diva saa hz angekuwa na miradi mizuri tuu ya maana Ila kutwa kubana puaKuomba omba ni kilema kwanza ni fedheha
Tena anaomba kwa watu baki bila shaka ni wakuhurumiwa
Malinzi wote wawili wamefulia, sio Dioni wala sio Jamal, ukiwaona utawaonea hurumaAnatafuta Mil 10 akalipe pango, Ambayo anategemea Washabiki zake wamchangie...Huyu si huwa amasema Babake ni Bilionea Malinzi?
Afuge hata kuku , kitimoto, kilimo cha mboga mboga..Kwa umaarufu wa Diva saa hz angekuwa na miradi mizuri tuu ya maana Ila kutwa kubana pua
hahahahahaha, Swahiba huyu best angu diva hamjamzoea tu? huyo job mate wangu wa zamani asiwaumize kichwa,hela yako nunua flying fishIla Diva 🤣🤣🤣🤣
Mashauzi yote yale Kodi kipengele ...kwamba blah blah...Bwana mzungu anamlipia....Shwaiiiin zake...
By the way nilimiss sana aina uandishi huu wa kimbea tangu afariki Gwiji letu Warumi(RIP)
Kweli bruh...... Ishu za Kodi ina maana hata basic needs hawezi ku affordAfuge hata kuku , kitimoto, kilimo cha mboga mboga..
Mimi naukataa UMASKINI haki tena haya maisha sisi sio wanyonge kiivyo
Ana jidhalilisha
Ni Bora uombe pesa ya matibabu au ukipata majanga makubwa makubwa ila sio KODI YA NYUMBA MTU MWENYE JINA TOKA ALA ZA ROHO WAY BACK
Najua vyema ulimuacha pale mjengoni Mawingu...hahahahahaha, Swahiba huyu best angu diva hamjamzoea tu? huyo job mate wangu wa zamani asiwaumize kichwa,hela yako nunua flying fish
Kuna watu ni wapumbavu sanahuyu ndo yule lofa aliyekuwa anatusi watu,,, wanaomchangia nao ni malofa kama yeye..