Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,114
- 29,434
Akapange foleni mbagala maji matitu kwa "wahaya"!Mdada maarufu, mwana mitandao na mtangazaji Diva the Bawse, aomba waja wamchangie pesa ili aweze kulipa kodi ya nyumba anayoishi, baada ya mmiliki wa nyumba hiyo kuja kumfanyia tukio la udhalilishaji kwa kuchelewa malipo.
Huyu bidada si alisema ana bwana ake mzungu? Wala hana shida ndogo ndogo hata WCB wasipo mlipa hela yake, yeye maisha yataenda km kawaida? Mara akaja na mibwato na mineno kuntu yeye pesa zipo na zinaingia kila siku kupitia products zake za urembo kutoka Diva Beauty, sasa imekuaje tena leo ashindwe kulipa kodi ya nyumba?
Afu sasa kodi inayotakiwa ni 10M, na hapo kachangiwa imefika 2M? kwanini anaishi maisha nje ya uwezo wake? Ndio shida ya kufake life, mwisho unaumbuka km hivi, Lol.
Haya Waja, Namba ndio hiyo, km una chochote kitu usisite kutupia hapo ili Diva wetu amalize deni la kodi yake.
Nacheka waja wanavyomchamba huko FB, woiiiih. πππ
Mimi natoa misaada na mikopo ya masharti nafuu mpaka kwa nchi, kama IMF, si hawa digidigi maji wasiojua maana wala kupiga danadana ππMzee wa Washington DC em toa chochote kitu kwa Diva wetu basi.
πππ
hahah! machache hayo, ndani ya chumba kuna mambo mengi ambayo hata hayo 16 inabidi mengine kukimbizana na mda kidogo16hrs ni mashindano au? πππ
Wee mzee nakugawa buree, basi toa terms and conditions za mikopo yako, wengine tujilipue.Mimi natoa misaada na mikopo ya masharti nafuu mpaka kwa nchi, kama IMF, si hawa digidigi maji wasiojua maana wala kupiga danadana ππ
Hali ni ngumu siyo maskhara ujue....Ni vurugu tupu...Da makie nakugawa bure wallah, leo umechachuka mno, kwanini lakinii?
Wateja wenyewe nao wanauza, biashara ngumu hii wallah.
ππππ
Mtu tapeli kama Makonda anaweza kupewa uongozi na kazi yake ni kula bata kwa kusafiri na kukutana na watu mashuhuri (possibly kwa kuwalipa fedha nyingi bila kusahau madalali wa kati wanaofanikisha huo utapeli) ili apige picha na kumsifia Samia huku akinunua magari ya kifahari na kufanya uhalifu wa kila aina. Hii inaonyesha jinsi nchi ilivyo na wananchi wenye uelewa mdogo.Nchi ina mazwazwa sana hii. Yaani one day mtu anasema anatumia 5m kwa siku, another day anaomba kuchangiwa kodi. This is the epitome of stupidity
πππ umbea huu nimeshindwa kujizuia, nikaona wee niupeleke JF Diva akasaulwe, maana anavojionaga high class, tuliwahi chambana IG na akaniblock.Hali ni ngumu siyo maskhara ujue....Ni vurugu tupu...
Mimi nilimiss umbea wenye udambwi dambwi namna hii bhanaπ€£
ok.Mdada maarufu, mwana mitandao na mtangazaji Diva the Bawse, aomba waja wamchangie pesa ili aweze kulipa kodi ya nyumba anayoishi, baada ya mmiliki wa nyumba hiyo kuja kumfanyia tukio la udhalilishaji kwa kuchelewa malipo.
Huyu bidada si alisema ana bwana ake mzungu? Wala hana shida ndogo ndogo hata WCB wasipo mlipa hela yake, yeye maisha yataenda km kawaida? Mara akaja na mibwato na mineno kuntu yeye pesa zipo na zinaingia kila siku kupitia products zake za urembo kutoka Diva Beauty, sasa imekuaje tena leo ashindwe kulipa kodi ya nyumba?
Afu sasa kodi inayotakiwa ni 10M, na hapo kachangiwa imefika 2M? kwanini anaishi maisha nje ya uwezo wake? Ndio shida ya kufake life, mwisho unaumbuka km hivi, Lol.
Haya Waja, Namba ndio hiyo, km una chochote kitu usisite kutupia hapo ili Diva wetu amalize deni la kodi yake.
Nacheka waja wanavyomchamba huko FB, woiiiih. πππ
Wananchi wa hii nchi wanachoweza ni kupinga Ushoga tu basi. LolMtu tapeli kama Makonda anaweza kupewa uongozi na kazi yake ni kula bata kwa kusafiri na kukutana na watu mashuhuri (possibly kwa kuwalipa fedha nyingi bila kusahau madalali wa kati wanaofanikisha huo utapeli) ili apige picha na kumsifia Samia huku akinunua magari ya kifahari na kufanya uhalifu wa kila aina. Hii inaonyesha jinsi nchi ilivyo na wananchi wenye uelewa mdogo.
hahah! chumbani ni mahala pa siri ndio maana panafungwaa, vijana wengi hamjui siri za vyumbani.. ndio maana masaa kadhaa unaona wanatoka.. masaa 16 plus kulogana na kulogaKheeh Mabwakuu, πππ
Nasikia ni Master wa kutembeza block huko IG ukimchamba...πππ umbea huu nimeshindwa kujizuia, nikaona wee niupeleke JF Diva akasaulwe, maana anavojionaga high class, tuliwahi chambana IG na akaniblock.
πππ
Nitoe mara ngapi?Wee mzee nakugawa buree, basi toa terms and conditions za mikopo yako, wengine tujilipue.
ππππ
Huku vikindu hatuna wapangaji kabisa, tuna wenye nyumba tu huyo muacheni hukohuko aliko. Mtamuua kwa msongo huku. Mkuranga mtuache na upepo wetu na sauti za makuti ya minazi.Akapange vikindu huko hiyo Kodi kwa laki na 50 anakaa miakaa