Noma sanaaaaaaHuku vikindu hatuna wapangaji kabisa, tuna wenye nyumba tu huyo muacheni hukohuko aliko. Mtamuua kwa msongo huku. Mkuranga mtuache na upepo wetu na sauti za makuti ya minazi.
Haya, nakuja kuweka mwenyewe huko huko πππMie sijaona jamani, em weka tena.
ππ
πππ expert wa mambo ya chumbani, ktk ubora wako.hahah! chumbani ni mahala pa siri ndio maana panafungwaa, vijana wengi hamjui siri za vyumbani.. ndio maana masaa kadhaa unaona wanatoka.. masaa 16 plus kulogana na kuloga
Na hujui wakati gani ni matangazo ya biashara ambayo kwa wakati mmoja ni maigizo na uhalisia ππUzuri wa Bongoland hujui wakati gani ni maigizo na wakati gani ni uhalisia.
Hapa Kaweka Dau kwa anayehitaji....Ila wabongo bwana...Na hujui wakati gani ni matangazo ya biashara ambayo kwa wakati mmoja ni maigizo na uhalisia ππ
Kama umefungua code vileeπNa hujui wakati gani ni matangazo ya biashara ambayo kwa wakati mmoja ni maigizo na uhalisia ππ
Hata wasio na D mbili wataelewa.Hapa Kaweka Dau kwa anayehitaji....Ila wabongo bwana...
Mara moja au bili ya mwaka mzima?Humpati Diva kwa bei hiyo, anzia 500k hapo atakufikiria. Lol
πππ
hahaha! kawaida tu kwenye midumbwiko ile ni safari ndefuπππ expert wa mambo ya chumbani, ktk ubora wako.
Woiiih
Average?10m kwa mwaka si 830k/month, kodi average kabisa kwa maisha ya dar, kama ameshindwa kuimudu basi ana shida sana mahali
Diva hajawahi kuwa na primeβ¦.Jeuri ya mwanamke ni pale yupo kwenye soko "prime time", anakokwenda huyo bibie watakuwa wanapiga bure wadau. π