Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,921
- 19,772
Zamani kidogo huyo miss delulu aliwahi kupost anajenga ghorofa, baada ya muda akaomba watu wamchangie akafanye IVF, alipokea kichambo heavy akaanza kujiliza liza.... sema kuna wageni wengi wa mitandao wameletwa na hizi simu za mikopoNaona wanachangia, kitenge katoa 500k,
Na wala hawajawah kua wazazi wake. Yeye amezaliwa na kujitambua akoliwa korogweMalinzi wote wawili wamefulia, sio Dioni wala sio Jamal, ukiwaona utawaonea huruma
sawa sawaNa wala hawajawah kua wazazi wake. Yeye amezaliwa na kujitambua akowa korogwe
sawa sawaNa wala hawajawah kua wazazi wake. Yeye amezaliwa na kujitambua akowa korogwe
hahahahahaLugumi lazima ajae
yes nakumbuka,huaa najiuliza lile ghorofa limeishia wapi?lilikuwa na bati hizi za kizamani..Too much faking mpaka anaboa na hata wanaomchangia hao na minduku yao ntamchana kitenge tukikutanaZamani kidogo huyo miss delulu aliwahi kupost anajenga ghorofa, baada ya muda akaomba watu wamchangie akafanye IVF, alipokea kichambo heavy akaanza kujiliza liza.... sema kuna wageni wengi wa mitandao wameletwa na hizi simu za mikopo
Ndiyo maana huwa mnaambiwa huyo Diva ni Bipolar.Mdada maarufu, mwana mitandao na mtangazaji Diva the Bawse, aomba waja wamchangie pesa ili aweze kulipa kodi ya nyumba anayoishi, baada ya mmiliki wa nyumba hiyo kuja kumfanyia tukio la udhalilishaji kwa kuchelewa malipo.
Huyu bidada si alisema ana bwana ake mzungu? Wala hana shida ndogo ndogo hata WCB wasipo mlipa hela yake, yeye maisha yataenda km kawaida? Mara akaja na mibwato na mineno kuntu yeye pesa zipo na zinaingia kila siku kupitia products zake za urembo kutoka Diva Beauty, sasa imekuaje tena leo ashindwe kulipa kodi ya nyumba?
Afu sasa kodi inayotakiwa ni 10M, na hapo kachangiwa imefika 2M? kwanini anaishi maisha nje ya uwezo wake? Ndio shida ya kufake life, mwisho unaumbuka km hivi, Lol.
Haya Waja, Namba ndio hiyo, km una chochote kitu usisite kutupia hapo ili Diva wetu amalize deni la kodi yake.
Nacheka waja wanavyomchamba huko FB, woiiiih. πππ
Hahahaa Diva ni Chizi fresh.King Kong III uje kuna mchango huku. π
Majuzi tu uliongelea hili na kusema kuwa huyu mwanamama alisema analipa kodi USD 2500 hivyo lile deni la miezi minne kule Wasafi aachane nalo kumbe alikuwa anadhaminiwa. Lol
Hata hiyo laki 5 kodi ya mwezi, kipato kinatakiwa kiwe hiyo 5M.Average?
Average ni laki 3 hadi 5, Laki 8 ni hela kubwa sana. kwa kodi aisee, Hapo kipato chako hakipaswi kupungua walau 5M . WaTz wangapi wanaingiza 5M kwa mwezi?
πππ mbona Dar Vijijini, khaahMnaishi kimara nyie, naongelea dar sehemu ambayo utakaa kwa kujinafasi bila bugdha hio 830k ni average kabisa. Na kwa mtu anaeishi dar average salary ni 2.4m ili usikwame kwame
sasa nyie mnaoishi mbagala, kimara, mbezi mwisho sijui, huko sio dar mjini, ni dar vijijini
Mtaniii hupitwiii? πππKing Kong III uje kuna mchango huku. π
Majuzi tu uliongelea hili na kusema kuwa huyu mwanamama alisema analipa kodi USD 2500 hivyo lile deni la miezi minne kule Wasafi aachane nalo kumbe alikuwa anadhaminiwa. Lol