Mkuu basi kazi, ufanye birthday siku ya kutungwa mimba?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]May ni mwezi ambao mimba ya kuzaliwa yeye ilitungwa
kihesabu mwezi may hadi January ni miezi tisa
kwa hiyo January amezaliwa inaonekana ni mzuri wa mahesabu au wazazi walitunza kumbukumbu
hesabu haidanganyiMkuu basi kazi, ufanye birthday siku ya kutungwa mimba?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu sasa mbona zote anaziita birthday?!May ni mwezi ambao mimba ya kuzaliwa yeye ilitungwa
kihesabu mwezi may hadi January ni miezi tisa
kwa hiyo January amezaliwa inaonekana ni mzuri wa mahesabu au wazazi walitunza kumbukumbu
diva yupo kamuulize mwenyeweMkuu sasa mbona zote anaziita birthday?!
au kwa kiingereza siku ya kutungwa mimba ndio Mnaita Birthday yenyewe?!
PointMay ni mwezi ambao mimba ya kuzaliwa yeye ilitungwa
kihesabu mwezi may hadi January ni miezi tisa
kwa hiyo January amezaliwa inaonekana ni mzuri wa mahesabu au wazazi walitunza kumbukumbu
Hawa wadada sijui kwa nn hawataki kukubali kama imeshafika saa 11 jioni
Kumbe wewe sio Diva?!diva yupo kamuulize mwenyewe
Kwa maelezo na majibu nlijua wewe ndio Diva na kama sio Diva basi mama yake,diva yupo kamuulize mwenyewe