Leo kupitia Clouds FM Mtangazaji wa kipindi cha Ala Za Roho "
Diva" ametoa sababu za yeye kumuacha MwanaBongoFlava wetu King Crazy GK. kupitia kipindi cha leotena ya clouds fm Diva amesema GK hakuwa romantic, mfano matukio ya muhimu kama birthday, christmas diva alitegemea kupata zawadi kama maua, Keki na vitu vingine ka hivyo ila GK alimpa mikausho mikali kwenye upande huo kana kwamba ni vitu vya kawaida sana kwenye maisha ambavyo havihitaji kupewa priority kiviile. Mwanadada huyo kwa sasa yupo kwenye relationship na msanii mwengine wa bongoflava aitwae Heri Muziki.
RAI: wanaume wenzangu wa darisalama tujifunze kitu kwa GK. hata kama ni ugumu basi sio poa kuuapply hadi kwa mpenzi wako aseeh.
View attachment 679649
Imebaki story