Mwanadada mwenye mvuto wa aina yake wenye kuwababaisha watu maarufu wengi ikiwemo hata vigogo wa mjengoni pale Dodoma.
Diva Malinzi amefunguka kupitia insta story ya Instagram yake kwamba yeye ndie very expensive mtangazaji na mwenye ushawishi mkubwa kuliko mtangazaji yoyote hapa nchini.