Hulka na tabia ya SIFA ni KUSIFIWA sio KUJISIFIAMwadada mwenye mvuto wa aina yake wenye kuwababaisha watu maarufu wengi ikiwemo hata vigogo wa mjengoni pale Dodoma diva malinzi amefunguka kupitia insta story ya Instagram yake kwamba yeye ndie very expensive mtangazaji na mwenye ushawishi mkubwa kuliko mtangazaji yoyote hapa nchini.
Huyu koku anawakimbiza Sana naona
Kamponza babaake,siku mzee katoka kaweka picha gari mpya na dola kibao mtandaoni.
Haya serikali imekata rufaa,mzee anarudi kwenye kesi.
Mtangazaji akili kisoda.
Naona uliwasha WiFi au macho yangu.?
π π π π π phala weweNyama tu hiyo
Naona msela ametoa nyongo kweli kweli kwa bibie