Diva heshima na adabu vimekuondoa cloids change

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kama KUNA VITU VYA KUMSAIDIA NI KUMSHAURI DADAETU DIVA ALIESIMAMISHWA. CLOUDS KWA. UTOVI WA NIDHAMU

NA KAMA MMEKUWA MKIMSIKIA NAJUA ULIKUWA NA WATU NJE WANAKUFANYA. UFANYE VILE AMA.USEME YALE REDION. KUWA MAKINI MWANAMKE TABIA WENGI WANAMINI ULICJOKUWA UNAONGEA NI TANIA YALO HALISI

KINGINE JIZUIE CHUJA UNACHOONGEA KUA CLOUDS INASIKILIZWA NA WENGI PAMOJA NA WATOTO KWA MANENO YALE HATA WAZAZI WAKO LAZIMA WAFUNGE REDIO

JIREKEBISHE USIANGALIE WALIOSHABIKIA KUONDOLQ BADO MDOGO UNAWAKA KABISA KWENYE FANI WASIOKUA.MAISHA WATAFIRAHI ILA MI NAAMINI UKICHANGE HATA TBC UNAFIT
 
Huyu jamaa hajawahi kuandika kitu kinachoelewa. Sasa CLOIDS ndio nini?

Mawazo na hoja anakuwa nazo ila tatizo ni jinsi ya kuwasilisha.
 
Pdidy uwe unatulia kwanza ili uandike vizuri unakuwa kama vile mtoto wa chekechea
 
Last edited by a moderator:
Pdidy uwe unatulia kwanza ili uandike vizuri unakuwa kama vile mtoto wa chekechea

Huyu jamaa hajawahi kuandika kitu kinachoelewa. Sasa CLOIDS ndio nini?

Mawazo na hoja anakuwa nazo ila tatizo ni jinsi ya kuwasilisha.

Huyu jamaa nadhani ana upungufu wa kutojua kujieleza.

huyu jamaa jamaa ndio kawaida yake sijui sio mswahili au kama ni mswahili basi hii lugha sio lugha ya kwanza maana sio leo tu iwe post(s) au comment(s) ni mwendo wa kuchapia tu, wadau wengi tushamjua
 
Last edited by a moderator:
Huenda una ushauri mzuri sana...Ila ni kama umekurupushwa kwenye fumanizi..
 
Na huwa anaambiwa sana tu,lkn wala hachukui hatua atakuwa anafanya makusudi

Ingekuwa busara kama angeyafanyia kazi maoni ya watu. Au kama vp azuiwe kupost na kucoment maana haeleweki.
 
ukisikia madudu ndo hayoooooooooooo..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…