ganzi ngumu
Member
- Dec 30, 2013
- 47
- 7
Alafu ni mkongwe JF
Kweli ana-bore sana
Pdidy hebu jibu kwanini unaandika vitu havieleweki? Huyu mimi naona kama anafanya makusudi kuzuga tu. Ila yeye ndio ana jibu sahihi.
Labda yuko bize sana kama dereva wa tax wa JNIA
Kumuelewa Pdidy inahitaji moyo na akili ya chuma