Diva loveness" am going to have my very first child in 2014"

Diva loveness" am going to have my very first child in 2014"

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
"Good news is it??
yes My aunt thinks ni habari nzuri and what about me??
well ……………..think i am loving the idea of mtoto wangu wa Kwanza in 2014……………i wish awe kama baby Nori…awww…
How cute Baby Nori is?! so cute wallah
never thought in my entire life that ntakuwa natamani kupata mtoto,its crazy
but with what i feel inside of me & its worse yes i admit but yes theres a heartbeat and am loving it now yaani its a beautiful feeling…..
yaani a very special feeling… aww baby inshaallah mie sio mnyama but ; i am gonna have me a baby. My very Own first child" DIVA
 
Aombe Mungu pia ajifungue salama.
Kuwa na mimba sio guarantee ya kupata mtoto.
Mungu amjaalie ajifungue salama,
 
icho kizungu mbn balaa?????

Bora angezungumza kiswahili unajua watu wanajitia wanajua sana lugha iliyoletwa na ndege pamoja na meli...anatujazia server tu mtu mwenyewe kasoma kayumba bahati nzuri msingi nimesoma nae
 
Usishangae kumwona kichaa akiongea mwenyewe akili zimevurujika. Hii lugha iliyoandikwa humu kama imevurugwa vile??
 
Mpoki Wa Ok Kafungua English Class Mwambie Akajifunze Ni Bure
 
Basi awahi kupata mimba kabla ya mwezi wa tatu kuisha! La sivyo atampata mtoto mwaka 2015!

Na ahakikishe hiyo mimba anapewa na zitto kabwe!!
 
Kwanza keshapata mwanaume wakumzalisha? Manake si kila mwanaume anaetoa mbegu zina uwezo wakutunga mimba.
 
Hivi hiyo sura usiku unalala naye vipi ndani? Huwezi ota unakimbizwa na jini kweli?
 
ukisikia majanga ndo haya! Sure im telling you!!!
 
alisemaga kwenye kipindi chake hatozaaa
ata adopt tu n anaogopa maumivu

...bora kapata ujasiri

Husipate nae tabu maana huyo majanga amezoea toka tupo primary anapenda kupretend maisha makubwa wakati yupo local huyo nawajua wote kwao bahati nzuri nilipata bahati kukaa nae kitaa kimoja......ndio big results hiyo ya kina mulugo
 
Kahaba lililokubuhu ilinalojificha kwenye utangazaji ....dingi ake si yupo jela huyu??
 
Back
Top Bottom