"Good news is it??
yes My aunt thinks ni habari nzuri and what about me??
well ..think i am loving the idea of mtoto wangu wa Kwanza in 2014 i wish awe kama baby Nori awww
How cute Baby Nori is?! so cute wallah
never thought in my entire life that ntakuwa natamani kupata mtoto,its crazy
but with what i feel inside of me & its worse yes i admit but yes theres a heartbeat and am loving it now yaani its a beautiful feeling ..
yaani a very special feeling aww baby inshaallah mie sio mnyama but ; i am gonna have me a baby. My very Own first child" DIVA
Bora angezungumza kiswahili unajua watu wanajitia wanajua sana lugha iliyoletwa na ndege pamoja na meli...anatujazia server tu mtu mwenyewe kasoma kayumba bahati nzuri msingi nimesoma nae
Husipate nae tabu maana huyo majanga amezoea toka tupo primary anapenda kupretend maisha makubwa wakati yupo local huyo nawajua wote kwao bahati nzuri nilipata bahati kukaa nae kitaa kimoja......ndio big results hiyo ya kina mulugo