Diva Loveness; stori ya malezi yako inasikitisha

mandawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
772
Reaction score
1,119
Mtoto Mrembo, mwenye sauti nzuri, kipaji cha utangazaji na fighter wa maisha usiyeishwa na skendo. Nimehuzunishwa sana kujua umepitia maisha ya unyanyasaji, kukataliwa na kudharauliwa! Pole sana dada na hongera kwa jitihada mbalimbali ulizopitia kufika ulipo!



Leo ndio nimejua mama yako alipokufa ulililewa na mama wa kambo aliyekataa kukupenda na badala yake akaamua kuuchuna utu wako kwa kukukataa na kukudharau mbele ya sibling zako.

Pole sana, hii imenisaidia kujua kwanini uko ulivyo. Msichana mrembo but i felt something is wrong with your up bringing, nimekuelewa sana. Kwa kifupi, yale uliyoyapitia ndio msingi wa vile ulivyo.

I wish kama ungepata nafasi ya kupata ushauri mapema huenda ungekuwa na super personality zaidi.

Kifupi wewe ni mtu uliekosa parental antention ukiwa mdogo hivyo unatafuta sana upendo na antention ya hali ya juu kureplace kile ulimiss.

In that process watu wabaya wanatake advantage of you. Let me tell you, you are beautiful lady, talented sana na unamvuatia man yeyote kwa nje. Please dont look for antention kwa watu wasiojua hitaji lako. Hebu jiamini kuwa wewe ni wa thamani na tuko tunaokuthamini. Acha kujidhalilisha na nashauri uwe professional na watu wa maana watakufuata.

I am proud of you and wish ukubali kuwa uliteswa na kuchukiwa na na kutupa hiyo history chooni. Kisha amini kwamba you still have a chance ya kupendwa kuthaminiwa sana bila kufanya vibwanga. Hapo utakuwa a normal lady!

Hii ndio salamu yangu kwako!

Kwa wale tumpendaye Diva karibu tuchangie.
 
Huyu Demu namshahuri , Atafute mwanaume aolewe sahivi hana miaka 35+ Alafu ajaolewa huku analiwa na watoto wakariakoo huku wanamuita kigagula.



Diva Get ur man, Find man we ni mzuri hizo make up zisikudifine .. Jipende wewe mwenyewe ulivyo

Ulienaye anakudharau , wakati wazee wanakufata unawakataa ..Najua kinachokutesa nimapenzi ..usiendelee kupoteza Muda na Fake boys .
 
Kama anajua kapitia maisha ya kunyanyaswa kwanini ana mdomo wa shombo na maneno ya dharau na kujisikiwa.Mshauri kuandika kwake hivyo haitamsaidia kupata public sympathy to be honest huyu demu wa ovyo Sana na fake ukiangalia kuanzia ngozi yake feki mpaka kucha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…