Diva loveness wa ala za roho

Diva loveness wa ala za roho

odbg

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Posts
318
Reaction score
154
Nimetumiwa screen shots za mazungumzo kati ya pedesheee mmoja na diva wa clouds ambapo jamaa akawa anaomba papuchi ya diva kwa million 3 na demu kakubali kabisa na ile number nimefuatilia na kuhakijisha ni ya diva,sasa nashangaa hii issue haijawa maarufu,au naijua peke yangu? Au ndo matukio yananipita!!!!!!
 
Siku nyingine ukiwa unaandika unakaa chini kwanza vizuri halafu unaandika taratibu kiroba na sigara unaweka pembeni

Ushawishi wa picha katika maandishi yako ni muhimu sana
 
hii issue ya siku nyingi sana!!..na ilijadiliwa humu humu!....[emoji12]
 
ungeweka hiyo screen shots hapa angalau ningekuelewa mkuu!!!
 
Kwani kuliwa afu kwa hela kuna tatizo????
 
Kwa milioni 3 kusema kweli wanawake wengi watahitaji kuchangamkia fursa[emoji1]
 
Back
Top Bottom