Honey faith nashindwa Ku up load,ni pm kama vipWeka hizo screenshot kwanza
Hahaaaa!!!! Bas mi nikajua naijua peke yangu kumbe nipo nyuma ya mudahii issue ya siku nyingi sana!!..na ilijadiliwa humu humu!....[emoji12]
Hivi kwenye magazet ya udaku ilifika?Ishu ya kitambo,pole kwa kuchelewa kujua...
kwahiyo mleta mada ulitaka uliwe ww upewe hiyo m3
Aiseee.....!!!Siku nyingine ukiwa unaandika unakaa chini kwanza vizuri halafu unaandika taratibu kiroba na sigara unaweka pembeni
Ushawishi wa picha katika maandishi yako ni muhimu sana