Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Hii ilikuwa kabla King hajawa King!ukitaka kujua kuwa wanawake huwa ni wanafiki ebu angalia hii clip wakati Diva alipohojiwa kuhusu anavyomchukulia Alikiba ilikuwa 23/04/2015....aisee
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] cha makonda si bureDiva anasoma upepo wa team kiba(hawa jamaa wana matusi sana ndio maana anajiwekea nafasi nzuri ya kuwa karibu nao)
Tatizo ni umarioo mkuuHata huyo aliyenaye sasa hivi, ni poyoyo tu. We demu anatoa kauli za kiboya hivyo uko kimya...
Ndege wanaofanana uruka pamoja, atapata mtu wa kufanana nayeAtakayemweka ndani Diva ajiandae kuendelea kumegewa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa kuongea kiingereza anajua?