Diva ndo unasema hutumii mkorogo ivi?

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Huyu demu alikuwaga mweusi mwasiti na mpoki wamesingiziwa, from no where kaibuka white , hii mikorogo ya 360 kiboko, halafu kila siku anakana hajikoboi

 
yani hapo ndo kajiharibu inabidi watu wapewe somo la kujikubali we kama mzuri ni mzuri tu whether white or black
 
Haaa kumbe kalikuwa kazuri..!!!.

Rangi ni Nyeusi bana..:thumbup:
 
Anapenda lenzio mi naona kapendezaa kua mweupee
 
Anaposses characters zote za Kihaya as her tribe kasoro hiyo ya rangi kapunguza sifa ya kabila lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…