Diva: Ruby na Gigy Money ndio watu gani

Huyo diva huwa anatabia ya kujiona mzungu Sana jamaa yangu moracka alijilia mzigo akasepa fasta

huyu diva ana sauti nzuri ila ana sura na shepu ya baba'ke, afu mwenyewe anajikuta bonge la demu kumbe kituko

Samahani Wakuu kati ya hawa watatu. Loveness Malinzi, Ruby na Gigy Money Diva ndiyo yupi? Mnanichanganya. Maana wengine huko mjini tunakusikia kwa majirani tu.
 
Kwahiyo huyo mke wa Malinzi ndio anajishugulisha na nini wakuu .......... Ruby namjua na kanavutia sana, ni ka english figure.
 
niliskia kuwa GK atamuoa Diva kwa mahali ya 500M. iliishiaga wapi au bdo ni wachumba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…