Diva The Bawse Hii Diva Charity kweli anasaidia watoto?

Diva The Bawse Hii Diva Charity kweli anasaidia watoto?

SaaMbovu

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2013
Posts
6,027
Reaction score
5,344
Habari.
Jana nimesikiliza kipindi cha Ala za Roho ambacho kinaendeshwa na Diva wa Clouds FM. Pamoja na yote aliyoyandaa lakini nilijiuliza sana kwa kile anachokiita Diva Charity kwa maana ya kuchangia watoto.

Binafsi sijawahi kusikia ameenda kwa watoto wahitaji na ametoa msaada kwa hao watoto ila yeye anakwambia changia watoto.

Issue ya ajabu mashabiki wake wakipiga simu anawakatia simu maana hawafuati utaratibu na bado haohao anawaomba michango tena kuanzia 2000. Nilifikiria mengi ila nikasema kweli ili uishi mjini ni akili na si vinginevyo.

Je ule msaada wa 15m ili akatibiwe yale mambo yake ndio inatafutwa au ni kweli anawasaidia hao watoto ambao hawajulikani?
 
Hivi ile ml 500, aliyoiomba ili apandikizwe mimba kishaipata
 
Kutumia "watoto yatima" au "masikini" kama kitega uchumi, kitawatokea puani ipo siku. Maana siku hizi ndio imekua biashara yao.

Mungu hajaribiwi, atakuja kuwapa janga hilo mpaka vichwa vyao virudi katika "factory settings"
 
sio lazima watu wote tufanye kazi halali kujipatia pesa, hata waizi nao ngoja wajaribu bahati zao.
 
Ghorofa lake lile kama MAJUMBA YA ZAMANI YA KIARABU kashalimalizia?
 
Back
Top Bottom